Mwarobaini (Azadirachta indica) ni mti unaofahamika kwa uwezo wake wa kutibu magonjwa ya aina mbalimbali. Inaaminika kuwa mti huu umetoka huko India na Burma. Mwarobaini hushamiri zaidi katika nchi za tropiki na una uwezo mkubwa wa kuhimili ukame.
Jina “mwarobaini” linatokana na imani kuwa mti huu una uwezo wa kutibu magonjwa yapatayo arobaini. Majani na mbegu ya mwarobaini imekuwa ikitumiwa kama tiba kwa miaka maelfu huko nchini India na hivi sasa inatumiwa katika sehemu mbalimbali duniani likiwemo bara la Afrika.
Wanasayansi wa nchi za Magharibi hutumia pia mti huu kwenye tiba na utafiti. Mwanzoni mwa mwaka 2005, serikali ya India ilipeleka kesi mahakamani kupinga hatua ya mamlaka ya leseni ya Ulaya (European Patent Office) kutoa leseni kwa Wizara ya Kilimo ya Marekani na kampuni ya kimataifa ya WR Grace kumiliki haki ya kutengeneza na kuuza dawa ya ukungu inayotokana na mwarobaini.
Kati ya magonjwa ambayo mti huu umetumika kutibu au kupoza ni matatizo ya kusaga chakula tumboni, kisukari, kansa, magonjwa ya ngozi, malaria, ukungu (fungus), n.k. Matawi yake hutumiwa kama mswaki na magome yake hutumiwa kama dawa ya kusafisha meno.
Mafuta ya mbegu ya mwarobaini hutumika kutengenezea vipodozi na sabuni. Kiziduo cha mbegu au mafuta yake hutumiwa kama dawa ya kuulia wadudu wanaoharibu.
TIBA YA MUARUBAINI
1.TIBA hii hutunza meno na kuondoa harufu mbaya mdomoni. Kwa watu wanaopenda kula vitu vyenye sukari kama maziwa na mikate ambavyo vikiganda mdomoni husababisha sukari na kuathiri. Wapenzi na wapenda soda ambazo zina kiasi kikubwa cha sukari, wanatakiwa kutumia mwarobaini.
Miswaki: Tumia tawi dogo kutoka kwenye mti huu ambalo lina kemikali ya asili na kusafisha au kutunza fizi za meno.
Magamba ya mwarobaini hutumiwa kutengeneza baadhi ya dawa za meno zinazouzwa madukani.
2. Hutunza ngozi
Mwarobaini ni mzuri katika kutibu magonjwa mengi ya ngozi yanayoambukiza na yasiyoambukiza.
Unaweza pia kuutumia katika kutibu madhara yatokanayo na chakula au dawa.
Oga: Kwa asili, Wahindi wengi huoga maji ya moto yaliyolowekwa majani ya mwarobaini ili kuweka kinga kwenye ngozi zao.
Mafuta: Chukua gramu 100 za mafuta ya ngozi ya kawaida uongeze gramu 10 za mafuta ya mwarobaini, paka utaona mafanikio.
3.Vidonda vya kuungua vilivyochunika:
Chukua majani ya mwarobaini kiganja kimoja kisha changanya na maji lita moja, chemsha kwa dakika 20. Baada ya hapo chuja yakiwa bado ya moto kisha yapooze, osha sehemu iliyoungua. Maji haya yanasaidia kuzuia maambukizi.imea shambani.

1 coment�rios so far
Wynn Hotel Las Vegas and Encore | DRMCD
Wynn 전라남도 출장샵 Las Vegas and Encore in Las Vegas are 아산 출장안마 connected by a 5-Star hotel, with numerous restaurants, an all-suite 사천 출장안마 casino, 울산광역 출장샵 and 2 spa tubs. 과천 출장마사지
EmoticonEmoticon