01.ASALI
02.MDALASINI
chemsha Asali na Unga wa Mdalasini katika kikombe kimoja cha maji. Unywe kila siku asubuhi, kabla ya kula chochote na usiku kabla ya kulala. Hupunguza uzito hata wa mtu mnene sana, pia unashauriwa unywe mara kwa mara ili kuzuia mafuta mwilini hata kama mtu atakula chakula chenye mafuta mengi.
JUICE YA LIMAO NA ASALI.
Uhalisia juu ya unene.
Unene unasababishwa na mambo mengi yakiwemo
Tabia ya ulaji zaidi ya mwili unavyohitaji, mwili baada ya kuchukua hitajii lake huifadhi mabaki kama fat (mafuta) kadili unavyokula zaidi vyakula vya mafuta ndivyo unavyooongeza mafuta.
Kutofanya mazoezi ya kutosha
Mfumo wa umengenyaji chakula kutofanya kazi vizuri
Kula vyakula vinavyozozolotesha uharakishwaji wa mfumo wa umengenywaji kama maziwa au nyakati za usiku. au kupenda kunya maji ya baridi baada ya chakula N.k
Asali na limao zote zinakemikali itayokusaidi kurahisisha umengenywaji kufanyika haraka hivyo utaweza kusikia njaa baada ya muda Fulani (huwenda ikawa ni mapema kuliko kawaida). Ikiwa utaendelea kula kila usikiapo njaa tiba hii haiwezai kukusaidia lolote.
Nilazima wakti Fulani tumbo lako liwe
tupu ili mwili utumie ziada ya chakula ulichohifadhi kama fat (mafuta).
Pia juice ya limao na asali zote zinasaidia kuifanya fati iliyopo mwilini mwako kutumika, utakuwa unajisikia njaa zizuie kula kila mara pia zizuie kula vyakula nyenye fati nyingi kama chipsi nyama choma ya mbuzi , supu etc
Faida nyingine ya juce ya limao na asali zinasaidia kuuwa bacteria ambao kwa namna moja au nyingie wanadhorotesha mfumo wa chakula na utoaji taka kufanya kazi vizuri. Kuvisaidia kufanya kazi vizuri kunya maji ya kutosha ikiwezekana ya vuguvugu.
Saturday, 3 March 2018
PUNGUZA UZITO KWA NJIA NYEPESI BILA MADHARA.
Tags
Artikel Terkait
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon