KUKOMAZA MBEGU ZA MWANAUME ILI AWEZE KUTUNGISHA UJAUZITO
MAHITAJI
01. UBANI DHUKRA ROBO
02. ZAATARI ROBO
03.SHOMARI ROBO
Zitwange dawa hizo vizuri kisha chukua kipimo cha robo robo na uchanganye;
Chukua kijiko kimoja cha dawa hyo kwa maziwa vuguvugu glass moja kutwa mara mbili;
Utadumu kunywa hivyo kwa muda wa siku 21
FAIDA
Kwa MWANAMKE ambaye mirija yake ya uzazi IMEZIBA na kusababisha kutoshika ujauzito achukue 100gm za dawa hii iliyochanganywa vizuri kisha achemshe kwa maji lita moja na nusu
Anywe dawa hyo nusu kikombe kutwa mara tatu siku 11 , basi mirija ITAZIBUKA na atapata UJAUZITO IN SHAA ALLAH.

EmoticonEmoticon