ULIMI WA KULUNGU
Hutumika kumfanya mtu akupende, na pia kumpata mwenzi wa maisha. . MPOPOSHETANI : Hutumika kutoa kinga ya nguvu dhidi ya uovu mkubwa, pia hutumika kama sadaka kwa mashetani na mizimu. . MKAMBASHETANI : Hukulinda dhidi ya kugeukwa na kusengenywa, husaidia pia katika kamari pamoja na kupata kazi.
MDILILI : Husaidia kuwarejesha pamoja wapenzi au wanandoa walio tenganishwa kwa uchawi. Pia huwasaidia wanaume ambao nguvu. . MDITANIKRETE : Ukifanikiwa kumlisha dawa hii mtu unayetaka akupende, basi hatoweza kukuacha mpaka siku atakayo ingia kaburini. . MDAMUYANYOKA : Hutumika katika tambiko la kuvuta utajiri. . MOSHIWADUNIA : Hutumika kuvuta wateja katika biashara na pia kuongeza mafanikio ya kibiashara na kifedha. . MU-UAZEE : Unga unga wa dawa hii ukinyunyiziwa kwenye mali au nyumba, husaidia kukulinda dhidi ya wahalifu. . MTIHAMABA : Hutumika kumvuta mpenzi unayemtaka.
MKARATUSI : Hutumika kuwafukuza watu wabaya nyumbani na kwenye biashara, pia hutumika kumsafisha mtu aliyekumbwa na jinni la "Upepo Mbaya" Hiyo ni baadhi tu ya miti yenye nguvu za kiroho ambayo unaweza kuitumia kwa matumizi mbalimbali, kama nilivyo onyesha hapo juu. Ipo miti mingine mingi sana.
Asanteni na Mungu awabariki amiin.
Sunday, 4 March 2018
JIFUNZE MITI YENYE UWEZO MKUBWA 03
Tags
Artikel Terkait
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon